The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Manchester is blue John stone is blue too we are cityyyyyyyyyyyyyy
 
Pia Guardiola anaushawishi mkubwa sana...
I hope tutampata huyu jamaa...
Lakini hii itakuwa sio habari nzuri kwa Ihenacho mkuu..!
Ihenacho ni mzuri ila tatizo lake ukomavu na aguero anajiachia sana siku hiz inatakiwa tupate mtu wa kumfanya aguero awemakini na namba yake halafu mashindano tunayo mengi ihenacho atapata tu muda wa kucheza halafu cha pili aguero ansumbuliwa na majeruhi ya mara kwa mara auba bado muhimu sana kwenye harakati zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…