Bado, Tusubiri kwenye fainali. akimtoa tu Barcelona baaas. ubingwani wake.Man City bingwa mwaka huu au bado?
Mkuu nimesema ubingwa wa EPL.Bado, Tusubiri kwenye fainali. akimtoa tu Barcelona baaas. ubingwani wake.
Ila najua tu atamtoa. Hakuna kama city
EPL? YAANI WEWE UNATAKA KUWACHOKOZA JAMAA SASA. EPL NI YETU, NA NI MISIMU 3 MFULULIZOMkuu nimesema ubingwa wa EPL.
Mkuu misimu mingine ngoja tutaona. Lakini msimu huu naona Mungu keshashusha neema yake.EPL? YAANI WEWE UNATAKA KUWACHOKOZA JAMAA SASA. EPL NI YETU, NA NI MISIMU 3 MFULULIZO
Alafu hawa wigan mi nawaogopa sana. Hii match wasiichukulie poa kabisa. Inaweza kuw ngumu sana.Wakuu leo tunaupiga huko tupo ugenini
Sure mkuu mbaya zaidi tupo kwao, inabidi kuweka kikosi cha maana sana wasifanye majaribioAlafu hawa wigan mi nawaogopa sana. Hii match wasiichukulie poa kabisa. Inaweza kuw ngumu sana.
Ndiyo ivyo mkuu, ngoja tusubiri tuone itakavyokuw.Sure mkuu mbaya zaidi tupo kwao, inabidi kuweka kikosi cha maana sana wasifanye majaribio
Nasikia Gabriel Jesus karudiNdiyo ivyo mkuu, ngoja tusubiri tuone itakavyokuw.
Na mim kuna sehemu nilisoma taatifa hiyo mkuu. Majeruhi tutabakiw na Mendy tu.Nasikia Gabriel Jesus karudi
Dooh! Huyo mwamba ndio haponi tuNa mim kuna sehemu nilisoma taatifa hiyo mkuu. Majeruhi tutabakiw na Mendy tu.
Yule inatakiw wampe beki nzuri. Vinginevyo atatumwagia mboga.Wigan tunawapiga tu, tuondoeni hofu. Lakini hii si ndiyo mechi ya bravo? Huwa simwamink sana akiwa golini. Napenda aingie kama kuna salili za penati ili azichomoe
Nimemiss ile mitungi yakeMendy sijui kizizi
Ndio mkuu naona anatunzwa kwa matumizi ya baadaeNaona Leo KDB hatoanza
Mkuu njoo huku 2018 utashangaaNimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
Mkuu arab money ni nowmaAhh..Kiongozi tusiandikie mate..tuombeane uzima tu tushuhudie kati ya Arab money na falsafa za kibahili, ipi itazaa matunda?
Fingers crossed..