heeeeee ndo kwako goal linaingia sa hv
Tutajihakikishia ubingwa endapo tukiwa tunawafunga vigogo wenzetu Liver Chelsea na ArsenalHuu ubingwa ni wetu tena hakuna wakutuzuia
heeeeee ndo kwako goal linaingia sa hv
[emoji16][emoji16] binti mpole binti mpoleView attachment 921431kwani unanilipa kuweka GIF hapa mfyuuuu zako
🙊🙊[emoji16][emoji16] binti mpole binti mpole
[emoji16][emoji16] binti mpole binti mpole
Ndio lakini Mpaka mwisho wa match ni pases 711 mmepigaTumepiga pass nyingi sana ndani ya 18 ya wapinzani
[emoji16] sawa AsanteMmejipigia kibonge leo
Hongereni sana
Mkuu Eden Kimario nakukumbusha tu bado kuna hii mechi Manchester city vs ChelseaNdio lakini Mpaka mwisho wa match ni pases 711 mmepiga
Lakini magoli 6 mkuuNdio lakini Mpaka mwisho wa match ni pases 711 mmepiga
Kibonde lakiniLakini magoli 6 mkuu
Wewe umekutananae na mimi nimekutananae nani kafanya vizuri kwa huyu kibonde?Kibonde lakini
Najua mkuuMkuu Eden Kimario nakukumbusha tu bado kuna hii mechi Manchester city vs Chelsea
Ulichonizidi mimi ni kuwa na striker wazuri mkuu davetWewe umekutananae na mimi nimekutananae nani kafanya vizuri kwa huyu kibonde?
Na ndio hicho hicho kitafanya nikumalize pindi tukikutana mkuuUlichonizidi mimi ni kuwa na striker wazuri mkuu davet