eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Mimi najua nikikamata David silva, fernandinho, aguero, stalling kwisha habari yakoNa ndio hicho hicho kitafanya nikumalize pindi tukikutana mkuu
Sawa mkuu ila nakukumbushaMimi najua nikikamata David silva, fernandinho, aguero, stalling kwisha habari yako
Timu unayoshabikia ndio yenye kaulimbiu ya "U'll never walk alone"?Mechi ya Manchester city vs Chelsea nahitaji Sare tu ikishindikana Sare Manchester city afe tu
Kwanini huwa hamtaki kuamini kwamba City nayo ina mashabiki?Hawa watu wa humu wanaonekanAga wakishinda ni wazi ni wahamiaji haramu toka arsenal na Liverpool
Mechi ya Manchester city vs Chelsea nahitaji Sare tu ikishindikana Sare Manchester city afe tu
Wap wq cfc haina mdomo kam watu wa arsenal na man uBora ashinde Man City mkuu, hawa wakishinda hicho kidomodomo chao itakuwa ngumu hata kucheki message au kupokea simu au kufungua thread za mpira humu
Kwanini huwa hamtaki kuamini kwamba City nayo ina mashabiki?
Shukrani mkuu, hawarudishi hawa tunaongeza tu sisiKazi nzuri hongeren wasije wakarudisha tu