The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Ndicho nilichokua namaanisha..!
Labda kama haujafuatilia convo mpaka mwisho..!
Nimeelewa ndio maana nikamjibu hivyo hivyo. Nenda kwenye jukwaa la liverpool wana disikasi kuhusu salaa na harzad. Ukienda la chelsea wana discus arsenal kuifunga man. Sasa wanataka na ss tuwachokonie.
 
Kumbe kweli Chui hata akonde vipi, hawezi kulingana na Paka. Man Utd now sits above Arsenal. Same old Arsenal.
 
Kumbe kweli Chui hata akonde vipi, hawezi kulingana na Paka. Man Utd now sits above Arsenal. Same old Arsenal.
Man u yupo above arsenal kwasababu arsenal kapigwa na mancity. Na game ya man u na man city bado. Nini kitatokea maana chui atakuwa panya. Man u unapiga kelele wakati hujakutana na aliyekuweka hapo. Mancity atakutandika kama alivyokutandika mara ya kwanza. Muulize liverpool.
 
Hili povu surely ni la Arsenal fan. Top four mtaisoma kwa jirani😎.
 

Kwamba Liverpool umemtoa kwenye namba?
 
Noise neighbor

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili povu surely ni la Arsenal fan. Top four mtaisoma kwa jirani😎.
Povu wakati nimetandika Arsenal. Japo kiwango cha city hakipo sawa ila tumefanya kweli. Najua kuna mechi ngumu mbele. Ila wewe man u huchomoi kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…