Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Liverpool bado yupo top. Ila timu zote zina mechi ngumu mbele.
Una maana gani hapa kiongozi..!?Ukiwa umejishikiza sehemu hutakiwi kuwa na kelele.
Duh! wewe jamaa ni wa zamani kinoma 2009!! Uzi huu ulishaanzishwaga kumbe..!!dunia bwana kuna mtu mmoja nakumbuka 2009 August 09 halisema thread hii haiwezi kudumu daah sasa najiuliza sijui bado yupo hai
kama yupo napenda ha reply hii comment please please
the cityzen chairman am here
Mancity mechi zake 12 za mwanzo ndizo alizopiga timu kubwa. Alipiga Arsenal, Tottenham na Manchester United. Jumlisha droo ya hapo Anfield.Ubaya wa soccer, angalia mechi Man City alizopoyeza 75% ni below 10 kwenye table. Ni moja tu aliyopoteza ya Top 6.
What is the point? You are likely to lose points where you don't expect to as compared to these games with battles of tactics.
Hapana aisee lichukueni msikate tamaa mapema hivi Uwezo mnao, Nia Mnayo na sababu pia Mnayo. sasa mnataka kuliachia ili iwejeMancity mechi zake 12 za mwanzo ndizo alizopiga timu kubwa. Alipiga Arsenal, Tottenham na Manchester United. Jumlisha droo ya hapo Anfield.
Ila kwenye epl hakuna timu ndogo. Na kuchukuo kombe sio lazima timu iwe kubwa.
Na ukichukua kulirudia tena inakuwa ishu. Sisi kama City matumaini ya kulichukua mfululizo pana ugumu.
Kama upo hai jitokeze Mzee,unauliziwa..!Mhh..hii thread hivi itadumu kweli?
Ahahaaaah...Nimeuliza kama thread itadumu kwa maana ya kuchangamka. Maana Man City tuijuayo ni timu ya nafasi ya 8-12 kwenye ligi. Tusubiri tuone kama Arab Money ita-deliver performance.
App gani inaonyesha hii gemu?We bank on our neighbours today.
All the best to The Toffees!
Live NetTvApp gani inaonyesha hii gemu?