kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Tumesharudi juu. Hatushuki tena.
Mechi moja mkononi ambayo sio ya leo wala kesho. Vilevile kiporo kinachacha. Halafu hicho kiporo inategemea anacheza lini na atakuwa ktk hali gani. Point 3 mbele sio sawa na point 3 kiporo.
Sisi tutaibeba Liverpool kwa kuwapiga nyie 1-2.chelsea jamani jiandaeni kulamba dawa
zamu yenu sasa alafu ww ndo ulikula chakula cha wanaume
cityzen chairman am here
Amka kwanza mzee
Wewe nakupiga taka usitake..Amka kwanza mzee
yaani chelsea wapo serious kweli yaani unataka kufunga cityzen alafu mbele umekeka kizee
cityzen chairman am here
Mechi ya jpili?RAHIM STERLING LAZIMA APIGE MBILI ZA HASIRA YA UBAGUZI
cityzen chairman am here
sisi tunacheza mpira tu sasa ayo mamb yebu ya kushangazana nenda njombe uko
Yap mwenye kund la man City atuad bas no yang 0692645229 au acreate
bado ujasema mzee