Pogba peke yake?Kunifunga ni ngumu kama kumfunga liverpool. Man U hana mpira wa know mfunga liverpool, japo tunawaombea mshinde. Tatizo hamna huo mpira. Keep mfunga liverpool kama mnacheza kitimu mtaweza ila kwa mchezo wenu wa pogba pekee sahauni.
Acha Kiki za kijingaCARABAO FINAL
ROAD WEMBLEY
LOADING.......
cityzen chairman am here
Leo vipi mnawapiga ngapiHabari za siku nyingi wakuu?
Hongereni kwa kuendeleza vipigo vya hapa na pale dhidi ya vikundi vya wahuni....... Msimu huu tutakua na vikombe vingi tofauti na msimu jana
Chelsea ishakula kwenu mnafanya kusogeza muda mbele tu ila mshindi nanyi mnamjua
Hahaha luiz alikua anamwambia usitokeChelsea kipa wenu anabisha na kocha kutoka uwanjani hahahahahaaaaaa, ngoja tuone yajayo yanafurahisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani kasababisha kifungwa kwao sasa? Ni kocha, kipa ama huyo luiz
Sisi tukishinda hatuongei ila tunachukia tu ngao yetu tunasepa.
Sisi tukishinda hatuongei ila tunachukia tu ngao yetu tunasepa.