zizzou ni nani? Mm nilijua usiku huu mtakuwa mnashangilia ngao kumbe mnashangilia kocha kutimuliwa?
Tushakubali kipigo hiyo haikwepeki,zizzou ni nani? Mm nilijua usiku huu mtakuwa mnashangilia ngao kumbe mnashangilia kocha kutimuliwa?
Naanza kuhesabu sasaHabari za siku nyingi wakuu?
Hongereni kwa kuendeleza vipigo vya hapa na pale dhidi ya vikundi vya wahuni....... Msimu huu tutakua na vikombe vingi tofauti na msimu jana
Walikaza kishenzi
πππ
Fresh mdau, za majukumu?
Naona matajiri mmeanza kushika silverwareFresh mdau, za majukumu?
Eeeh tumeanza show mapema kabisa, msimu huu utakua mzuri sana kwetu
Naona mshanunua calculator ya kuhesabia vikombe,πππ
Habari yako ndugu?
Hahah yote yanawezekana mkuu maana huu mchezo muda mwingine hauko fair, ila haya mengine kama kuanza kuhesabu ni mbwembwe za ushabiki tu