Apa ni fainali mpaka mwisho.Kwetu sisi sasa kila game ni fainal tunaimani kombe tutaendelea kuliweka kwapani [emoji3][emoji3][emoji3] Baryen tarehe 13 wanaenda kututengenezea majeruhi wa kutosha kwa hawa kuku wakirudi kwa Ligi hoi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Old Trafford bado matanga hayajaisha,karibu uone kazi ya wanaume leo 23:00 hapo Etihad Stadium mkuu.Kumefubaa humu. Nawakaribisha Old Trafford
Old Trafford bado matanga hayajaisha,karibu uone kazi ya wanaume leo 23:00 hapo Etihad Stadium mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani wanabebwa mkuu?Uefa wanawabeba sana . Njia tulizopita tang makund hampit nyie
Leo uwe macho uone shughuli ya wanaume wa mjini nyie ndo mlibebwa kwa PSG au mara hii umesahau.Nakwambia wew na city yako
Leo uwe macho uone shughuli ya wanaume wa mjini nyie ndo mlibebwa kwa PSG au mara hii umesahau.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule matanga kweliOld Trafford bado matanga hayajaisha,karibu uone kazi ya wanaume leo 23:00 hapo Etihad Stadium mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app