The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hivi Kajamaa kadogo yu wapi siku hizi? Haudhurii jukwaaa,
Hawa wengine Ni City mkopo. Wanawaogipa Barcelona wakati Barcelona mwenyewe anaiogopa City. Man City yupo juu, hakuna cha Jogoo wala mtetea hapa wote tunapiga chini.
Pep hana utani.
 
Uzuri wa mpila unachezwa uwanjani dakika tisini na siyo mdomoni au kwenye keyboards.
Kama ingekuwa matokea yanapangwa kwa matakwa ya mashabiki wa timu Fulani basi hakuna timu ingefungwa duniani.maana mashabiki siku zote wanataka timu yao ishinde ..so hata nyinyi mashabiki wa humu ni hali yenu kusema Barca atapita maana hamuwezi kusema kinyume.
Ila hiyo mechi si rahisi kama m unavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…