Ndidi,japo sijawahi kusikia tunamuhitaji...
Uyu VVD waliekuwa wanamsifu sifu sana tushaujua udhaifu wake.
Dawa ni mwendo kasi tu cheki juzi german
View attachment 1054876
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijakuelewa vzr.Ishu sio speed sema tatizo alipanda sana maana huyo Sane hana Speed
Uliza alifanywa nini Mbappe mwenye Speed
Yaani unampa Kichwa Sane ambae hamuwezi dogo Trent
Hahahha aya mkuu tupo pa moja.Nasubiria mechi ya kuchukua ubingwa ntazitupia za kutosha
Hahaha mkuu io ni report ya premiur league sasa unabishana nayo tenaSane ana kasi gani? Pale kwenu mwenye kasi kidogooo ni Sterling labda labda na Mahrez