Leta takwim umetoa wap mm nimetoa league webHuzo takwimu sijui unachukulia wapi
Antonio Valencia wa Man U ndio mchezaji mwenye kasi zaidi Duniani na EPL, ambae anamfuatia na alikuwepo EPL ni Gareth Bale
Hii mkuu ni tovuti ya league.
Na io speed yake haijawahi fikiwa na yeyote tangu wameanza kurecord speed za wachezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya kazi usiwaze ujingaUmu ndani wangepatikana wengine watatu kama mm basi stor zingenoga
Sent using Jamii Forums mobile app
Rabiot
Ungeandika "Leo naomba mpigwe 2-1"Leo mtapigwa 2-1 au mkijitahid sana basi draw. Goli moja la fuhlam ni la penati dakka za majeruh
Umetoa wap utabiri huu mkuuLeo mtapigwa 2-1 au mkijitahid sana basi draw. Goli moja la fuhlam ni la penati dakka za majeruh
Bora angeomba kuliko kuandika hvUngeandika "Leo naomba mpigwe 2-1"
Hii ni ramli chonganishi na haitakaa itokeeLeo mtapigwa 2-1 au mkijitahid sana basi draw. Goli moja la fuhlam ni la penati dakka za majeruh