Anakimbizana na sterlingHuyu Bernardo Silva ni hatari mno..!
Kwangu mimi huyu ndio mchezaji bora wa City kwa msimu huu..!
Yeah...Bernado ni mzuri sana kama unakumbuka wakat ule yupo monaco alivyotusumbua na mwenzake mbape ucl
Sent using Jamii Forums mobile app