Game saa 3:45 usikuJamani eeeh...
Leo game yetu inachezwa saa ngapi..?
Pamoja sana Kiongozi...Game saa 3:45 usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Game inachezwa baadae,au wewe unaulizia matokeo gani mkongwe..?Matokeo vp?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe kikosi mkuuNaona leo Phil Foden amepangwa kwenye kikosi cha kwanza..!
Hahahhaha jongoo kashaelekea kibra
Pigeni sita huyu mtoto,hakikisheni jogoo kishingo hapati kitu huu msimu majirani.
Foden ni mchezaj mzuri sana ukilinganisha na krbn tim nzima ya manureGame inachezwa baadae,au wewe unaulizia matokeo gani mkongwe..?
EdersonNipe kikosi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kati ya mashabiki tusio na mihemko ni sisi kama tunatania vile kumbe ndo mwendo
[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] ni kwel kabsaKati ya mashabiki tusio na mihemko ni sisi kama tunatania vile kumbe ndo mwendo
Sent using Jamii Forums mobile app