Yeah...Naona leo wana reserve some energy for the next matches
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mkuuIla huyu Gabby Jesus kuna wakati anakera sana aisee..!
Angekua makini hawa Cardiff wangekua wameshakula fimbo kama NNE hivi..!
Kuku wanatutazama kwa jicho la pmbenLeo itapendeza zaidi tukiwa na interval ya gori 10 kwa wale kuku tunao kuwa tunawaonjesha nafasi ya ubingwa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel mkuuIla huyu Gabby Jesus kuna wakati anakera sana aisee..!
Angekua makini hawa Cardiff wangekua wameshakula fimbo kama NNE hivi..!