Foden ni Bora kuliko pogbaFoden ni mchezaj mzuri sana ukilinganisha na krbn tim nzima ya manure
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu yule kocha wa cardiff kamwambia pep mpaka refa wq bango amecheka kwel
Atakuwa ameanza ka mchezo ka ku bet huyu tuwe nae makiniNimesikia zinchenko atamiss mechi ya FA.
Ila mendy ni mpuuzi anamiss mazoez anakesha club
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] haiwezekani tupo ukingoni hivi anze ma utumbo utumbo au kuku washa mtangazia dau la kimya kimya pep kuwa makini dereva wetu tufike salama twendako.