Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Haters hawaishi maneno
Zinchenko vp?Line up.
Ederson,walker,company,laporte,mendy,de bruyne,gundogan,silva
Sterling,aguero,sane
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuku ndo wajiangalie sana uwezekano wa kukojoa wamechuchumaa leo ni mkubwa kwao hawasalimiki.Wakuu gardiola ajiaangalie leo hawa crystal palace wametumwa na kloop waje waue mtuu,
Kipind cha pili n mauaji mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Washakaa kimojaWakuu gardiola ajiaangalie leo hawa crystal palace wametumwa na kloop waje waue mtuu,
Kipind cha pili n mauaji mengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpl anawakat mgumu ukizingatia walishapigwa na chelsea kwenye carabao cupKuku ndo wajiangalie sana uwezekano wa kukojoa wamechuchumaa leo ni mkubwa kwao hawasalimiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena kupita maelezo.Game ya leo rivals wetu wanaitazama kwa ukaribu sana [emoji38][emoji38]