kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
TunashukuruTunamfahamu vizuri huyu, Liverpool tunakupeni clear chance to clench the trophy
Watapigwa hao, ni hivi walivyo na majeruhi +kikosi finyu.TOTTENHAM bado haujamaliza kazi Bado vijana wangu Jmosi muhitimishe sasa
Keshatepeta!!!
Wa kupigwa nani, TOT Labda tanzania one theater!!!!!Watapigwa hao, ni hivi walivyo na majeruhi +kikosi finyu.
Sent using simu mbovu
HaaaahaàaaaaaWa kupigwa nani, TOT Labda tanzania one theater!!!!!
Hii ni timu kubwa ENGLAND na sio EUROPE
Sifa zimewazid mpk wanacheza kibwabwabwa
Hivi ile mipira SILVA katik 18 alikuwa na haja gani ya kuwa anatoa pasi au kupiga vyenga badala ya kupiga
13SEPTEMBER
Daah asante bhanaPoleni sana.
IndeedHii ni timu kubwa ENGLAND na sio EUROPE
Sifa zimewazid mpk wanacheza kibwabwabwa
Hivi ile mipira SILVA katik 18 alikuwa na haja gani ya kuwa anatoa pasi au kupiga vyenga badala ya kupiga
13SEPTEMBER
AyaKabla ya yote poleni kwanza.
Sent using simu mbovu
Fainali ya uzeeni au?
Mfumo wa Man City Chifu la sivyo atakaa benchi mwaka mzima kama hataki kufata maelezo toka kwa Kocha Mkuu/PepHii ni timu kubwa ENGLAND na sio EUROPE
Sifa zimewazid mpk wanacheza kibwabwabwa
Hivi ile mipira SILVA katik 18 alikuwa na haja gani ya kuwa anatoa pasi au kupiga vyenga badala ya kupiga
13SEPTEMBER