interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Pep bado ana elements za barca na ndy haiba yake....ajax wangewafunga juve jana hata 4 au 5
Huyu kima ananihuzigi na hii celebration yake!![emoji35][emoji35][emoji35]View attachment 1074608
Hakika Mungu ni wa wote maana naskia Pep alitamba kuwa Tottenham hatatoka Etihard kivyovyote vile itavyokuwa ni lazima tu Man City itashinda leo, naona Mungu kamuumbua "vise versa is true"[emoji3][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Kaka hujui huyo ni wakala wa shetani kupitia tatuu na hiyo ishara ya kifreemason[emoji848][emoji87]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan Pep kubeba Uefa tena, Arud barcelona...katumia hela kibao, na shauku ya city ni uefa kubeba
Karma is a bitch, ngoja laana ya Samuel Eto'o na Yaya Toure imtafune huyo kipara kwa chuki zake za ubaguzi wa rangi Chifu ili atambue kuwa Mungu hadhihakiwi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemsikiliza Christian Er anasema Ni Mungu kasaidia
Namwona mda tuuu...saaingne anaonesha kwa siri hiv kama ananyoosha mikono kumbe ana yake
Ahaha!! Pep tangu aondoke barca, uefa anaisikia tuu
Mkuu Ollachuga habari yako hahahahahahahahahtafuteni ile comment yangu ya timu zote za kutoka Manchester hazitafuzu robo fainali uefa, nakumbuka nilisema apa
Sent using Jamii Forums mobile app
tafuteni ile comment yangu ya timu zote za kutoka Manchester hazitafuzu robo fainali uefa, nakumbuka nilisema apa
Sent using Jamii Forums mobile app
YametimiaKukamia sio kushinda
Gurdiola aliwakamia Liverpool msimu uliopita kwenye UEFA ila akapigwa nje ndani
Mkuu mbona unahangaika sana kwenye majukwaa ya watu hixo timu xote zimefuxu robo ila nusu fainali ndio hazijaingia...njoo LFC TUMEKUMISStafuteni ile comment yangu ya timu zote za kutoka Manchester hazitafuzu robo fainali uefa, nakumbuka nilisema apa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli City kashindaHakika Mungu ni wa wote maana naskia Pep alitamba kuwa Tottenham hatatoka Etihard kivyovyote vile itavyokuwa ni lazima tu Man City itashinda leo, naona Mungu kamuumbua "vise versa is true"[emoji3][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Tottenham ni kimeo ambacho hakijawahi kutokea dunia hii ktk michuano ya QUATER FINAL UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakimbia mzee baba majukumu tu
Nilinyanyuka kwa hasira sana goli la Raheem Sterling kufungwa hadi Kipara/Pep kushangilia kama vile ndiye kocha bora duniani kumbe ni mahela tu ndiyo yanayombeba pale EPL[emoji1787]Wameshapita bro.