The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Mkuu inabidi mpigwe tu leo maana hamna namna

Draw ila nimeiona kabisa
Mkuu kwa mechi kama hizi hutoa matokea ya kushangaza sana

Nje ya ushabiki ni kuwa mechi hii timu yoyote inaweza kufungwa

Ila kwa hali ilivyo city inawalazimu kushinda na man hana cha kupoteza maana kwenye rada zake amesha poteza top 4
 
Man U hatakubali akupe kombe si unakumbuka mwaka jana kuwa mechi mliyoshinda pale Etihad ndio ilikuwa mehi ya kumtawaza City kuhukua Ubingwa? Sasa iliishaje?
 
Draw ya 2-2 au Manchester united anashinda

Magoli yanatoka kwa Lukaku na Rashford, na kama Martial atafunga itakuwa Man U mnashinda
Tatatizo ni mifumo itakayo tumika Leo ndio itaamua matokeo maana city itajaza viungo watao kuwa wanakazi ya kutunza mpira usifike langoni kwao

Na man u itajaza viungo wa kuzuia kufungwa na kishambulia kwa kushitukiza
 
Man U hatakubali akupe kombe si unakumbuka mwaka jana kuwa mechi mliyoshinda pale Etihad ndio ilikuwa mehi ya kumtawaza City kuhukua Ubingwa? Sasa iliishaje?
Nakumbuka pogba alihalibu kila kitu

Ila kwa Leo kuna kitu cha tofauti kidogo

Maana matokeo ni lazima yapatikane

Mwaka Jana walikuwa na uhakika kabisa wa kuchukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…