Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Wengi wanasema bora city ishinde kuliko liver kuchukua ubingwaLeo hawana upande ila man u tu
Thats trueMan U hatakubali akupe kombe si unakumbuka mwaka jana kuwa mechi mliyoshinda pale Etihad ndio ilikuwa mehi ya kumtawaza City kuhukua Ubingwa? Sasa iliishaje?
Game ni GG ila city anashindaKupigika kirahisi kweli hamna
Ila kufungika leo mnafungika vizuri tuu
Kombe ni la manchesterWengi wanasema bora city ishinde kuliko liver kuchukua ubingwa
Mungu ni mwema wakati woteKombe ni la manchester
Hawatii presha ila wanapunguza machungu ya e.....nNaona jamaa wamekuja kutia pressure
Nasuburi kikosi nikikiweka apa watakaa kimya wenyeweHawatii presha ila wanapunguza machungu ya e.....n
Nasubiri ukiweke maana Leo nahisi nafasi ya kucheki gemu ni ndogo sana kulingana na mahali nilipoNasuburi kikosi nikikiweka apa watakaa kimya wenyewe
Ww u usiwaze badae tutaenda matanga kwa liverpoolNasubiri ukiweke maana Leo nahisi nafasi ya kucheki gemu ni ndogo sana kulingana na mahali nilipo
Game ni GG ila city anashinda
Yeah hii game inaumuhim sana kwetu kuliko kwa utdkushinda mechi ya leo mnaweza shinda ila sio kama kunywa uji
Yeah jama ni mtamu sana sana.Daa yani leo de bruyne hayupo nahofia kidogo aisee
Huyu jama anashuti kali sana halafu anatoaga assist za kibabe, kiufupi anapandishaga timu sana,
City bila de bruyne, leo pengo litaonekana wazii