Hili goli hata guardiola hakuamini aiseeView attachment 1085031
Ili goli lilikuwa balaa just 23 mm alaf linaweza kuamua ubigwa hapo mbele.
Big job kun
Hahahha nilishika kichwa hii ngoma .Hili goli hata guardiola hakuamini aisee
They will come am not alone sir.Upo mwenyewe uzi mzima
Kapewa sifa na zisizo zakeKesho tutaujua uzuri wa vvd na ubaya wake kiundan.
Harafu kuku wanashangilia wamesahau ule usemi, mwenzio akinyolewa we tia majiAnachokifanya ajax huko jmn
NgapngapAnachokifanya ajax huko jmn
Hahahhaa atar sana.Harafu kuku wanashangilia wamesahau ule usemi, mwenzio akinyolewa we tia maji
0:1 ftNgapngap