Kila mtu ashinde mechi zake.One goal is not enough.
Ni kama burnley tu walivyofanya siku ile.hii game hii hawa mbuzi walikuwa wametukamia sana utafikiri wanapigania Top 4.
Kama anatoa bas vile, kanikumbusha mech na man u iliyochezwa jtatu afu kompany alifunga kwa kichwA.Kompany asante mzee baba kwa maamzi magumu umetuvusha [emoji120]
Kabisaa yaani! ila sasa kazi shilaa[emoji3][emoji109]Ni kama burnley tu walivyofanya siku ile.
Hapo akijitahidi draw wala haihitaji mjadala.Back on the top.
Liverpool anakibarua na wolves.
Kabisaaa yaani huyu dogo kawa kiazi sanaIla sasa nadhani mmejua kwa nn sane anakaa bench .
Inasikitisha pia
Brighton tuliokutana nao fa naona wamebadilika kdg.95% ya ubingwa mshindwe wenyewe j2 Brighton sio wa kubeza
Ila wolves nawaaminia95% ya ubingwa mshindwe wenyewe j2 Brighton sio wa kubeza
HehehehNaomba nikapitie uzi wa liver nione wana hali gan