Si ulicheki walivyokaza kwa Arsenal jana, timu haina cha kupotezaBrighton tuliokutana nao fa naona wamebadilika kdg.
Utupe mrejeshoNaomba nikapitie uzi wa liver nione wana hali gan
Liver atashinda hiyo gameIla wolves nawaaminia
Wanacheza mpira safi.Si ulicheki walivyokaza kwa Arsenal jana, timu haina cha kupoteza
Jamaa wanajua sana kupaki basi.Si ulicheki walivyokaza kwa Arsenal jana, timu haina cha kupoteza
Sijaona kitobo cha wao kutoka keshoKama nawaona kuku kesho wakikubali kuchinjwa kwa ihari yaani hii game sisi kushinda tayari ishavuruga kichwa cha Juergen Kopo.
Sane hana maelewano mazuri na Pep Guardiola, hii inaathiri mpaka kiwango chake...Ila sasa nadhani mmejua kwa nn sane anakaa bench .
Inasikitisha pia
Duu so he may leave?Sane hana maelewano mazuri na Pep Guardiola, hii inaathiri mpaka kiwango chake...
Pia inadaiwa hivi karibuni dogo ameanza tabia ya kumkosoa waziwazi Pep Guardiola wanapokua mazoezini...
Nafikiri huu ni msimu wake wa mwisho ndani ya Man City..!
Miguu mtanipaMan c 1-0 Leister [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kesho tunamalizia kula SHINGO la JOGOO...
Kipaji kinapotea kileSane hana maelewano mazuri na Pep Guardiola, hii inaathiri mpaka kiwango chake...
Pia inadaiwa hivi karibuni dogo ameanza tabia ya kumkosoa waziwazi Pep Guardiola wanapokua mazoezini...
Nafikiri huu ni msimu wake wa mwisho ndani ya Man City..!
Sane hana maelewano mazuri na Pep Guardiola, hii inaathiri mpaka kiwango chake...
Pia inadaiwa hivi karibuni dogo ameanza tabia ya kumkosoa waziwazi Pep Guardiola wanapokua mazoezini...
Nafikiri huu ni msimu wake wa mwisho ndani ya Man City..!
Yeah Broh...Duu so he may leave?