George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ahahaaaah...Hongereni sana mkuu, I'm so happy kwa ushindi mnono...tumebakiza game moja tu, tukiwin tunachukuwa ubingwa...
Kesho sec leg, tunaenda kumalizia SHINGO LA JOGOO...
Ahahaaaah...
Masikini wee .Ahahaaaah...
Jogoo ameshajilaza mwenyewe kuelekea kibra Chief..!
Unaweza kumchinja hata kwa kutumia wembe,ni wewe tu..!
Ahahaaaah...
Jogoo ameshajilaza mwenyewe kuelekea kibra Chief..!
Unaweza kumchinja hata kwa kutumia wembe,ni wewe tu..!
Msimu huu hakuna timu tusio ifunga.
Zote tumezifunga
Ii ni fainali.Tumebakiza mechi moja tu tutangaze ubingwa...nayo ni Briton...atakula nyingi sana mkuu
Muongezee na hiyo ya 24 😀23 games alizoanza city wameshinda zote
Hahah kwamba walikua wanatetemaHii game shabiki wa liverpool wana pressure kutuzidi
Anapoteza furaha kikosini kwasababu ya kulisugua benchUkweli siku za hivi karibuni akili za Sane ka sizielewi elewi
Tutakosa points mbili tu kufikisha zile 100 za msimu uliopitaBACK ON THE DRIVING SEAT OF EPL
View attachment 1089997
Liver lazima ashinde tu maana ndio itakua final yake ya kusadikika, hapa kikubwa ni kila mtu ashinde mechi yake maana ile njia ya kuombeana mabaya haifanyi kaziLiver atashinda hiyo game
Majeruhi yametusumbua sana msimu huuTutakosa points mbili tu kufikisha zile 100 za msimu uliopita
Hiyo mechi itapigwa uwanja wa Brighton mkuu, sio Etihad..!Ii ni fainali.
Bora ata ya leo.
Kama nawaona ma officer wa epl wakija etihad na kombe kabisa siku io
Ni kweli nilimaanisha game ya cityHiyo mechi itapigwa uwanja wa Brighton mkuu, sio Etihad..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109]