Sio siri hii FINANCIAL FAIR PLAY naona waliianzisha ilikuizuia timu kama City kuweka history
Kuna nakala kadhaa nimezisoma nitaweka link apo chini uone pia.
Kwamba City sio timu pekee iliyofanya usajili wa gharama kubwa na wakutisha.
Tatizo lililopo ni kwamba thamani(bei) za wachezaji zimepanda sana na zinabadilika kwa kila mwaka kulingana na somo.
Mfano shevshenko,essien,shearer,drogba,ferdinand, rooney gharama zao ukizibadili kwa wakati huu ni bei kubwa sana.
View attachment 1105078
View attachment 1105079
Ila ni nini kimetokea mpaka mmbo yakuanzishwa izi FFP na kuibana city namna hii,na kwanini ni wakati huu.
Kwenye kikosi tu cha bei cha EPL cha wakati wote city hatujaweka hata mchezani mmoja.
View attachment 1105087
Ni chelsea na man u(the rags)
Aya tukienda kwa clubs za gharama kubwa zaidi kuazia 1991 utaona city ni ya nne. Ikitanguliwa na chelsea,l'pool,man u.
View attachment 1105098
View attachment 1105100
SO WHY DO THEY INVESTIGATE US TOO MUCH? Na kwann waanzishe FFP whie other teams has already made the history?