The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Laana ya kuchukua kombe la sita la MABINGWA ULAYA. Klabu yako ina mangapi? [emoji23] [emoji23]
 
Sema Tenaaaa
 
jibu Swali Je utakuwa bingwa wa Ulaya lini? Niambie kwa miaka mingapi mtaweza kuchukua
Mimi nahisi haujui kusoma vizuri chief..!
Nimekujibu kuwa tutachukua UEFA "MUDA UKIFIKA"
Pia nimekuuliza na nyie mtachukua TENA kombe la EPL lini..!?
Sijakuambia hamjawahi kuchukua kombe la ligi kuu ya Uingereza,najua mlishachukua zaidi ya mara 10...
Ndio Maana nimekuuliza mtachukua TENA lini..?
 

UCL champion ni bingwa wa mabingwa wa ligi zote za Europe including La Liga and EPL.
Hizo Carabao, FA na EPL chukueni na mfurahi tu.
By the way kuanzia msimu ujao kuna VAR na nyie hamshindi mashindano yoyote yenye VAR.
Hata Pep kwa sasa anaiota tu hii ndoo
 
Wew jamaa naona unateseka sanaa


Liverpool nawaonea hurumaa sanaa, mlikuwa jangwani mmechoka vibaya na ukame wa makombe mmepata hako ka uefa naona mnaanza kutupanda kichwan mpaka sisi kaka zako
 
Sawa..!
Asante kwa mchango wako pia..!
Na mimi nikuambie tu as long as Pep ni kocha wa Man City hiyo EPL mtaendelea kuiona kwenye mitandao ya kijamii..!
Huyo Pep unayemzungumzia kashaibeba mara mbili hiyo ndoo unayoizungumzia,sawa na Fergie aliyefundisha zaidi ya miaka 20..!
Eti mabingwa wa Ligi zote,bingwa wa La Liga ni Barcelona chief,najua upo vizuri tu kichwani acha kujitoa ufahamu..!
 
Baadhi washabiki wa team inayochukua ubingwa mara Moja kwa miaka kumi matatizo yenu makubwa nani kakwambia UCL wanaoshiriki ni mabingwa? Liverpool alikuwa bingwa wa nchi gani akashiriki UCL? Lyon? Man Utd?
 
Baadhi washabiki wa team inayochukua ubingwa mara Moja kwa miaka kumi matatizo yenu makubwa nani kakwambia UCL wanaoshiriki ni mabingwa? Liverpool alikuwa bingwa wa nchi gani akashiriki UCL? Lyon? Man Utd?

I’d rather win one UCL crown in 100 years than a bunch of Mickey Mouse cups in a year. We are the champ of all champions in Europe including EPL
 

Hata Leicester City alishinda EPL. Cha ajabu ni kipi?
Hata Pep kwa maneno yake mwenyewe keshasema winning EPL without UCL is useless
 
Wew jamaa naona unateseka sanaa


Liverpool nawaonea hurumaa sanaa, mlikuwa jangwani mmechoka vibaya na ukame wa makombe mmepata hako ka uefa naona mnaanza kutupanda kichwan mpaka sisi kaka zako

Unateseka wewe uliesema Liverpool hatashinda UCL
UCL is the most prestigious honor at the club level. Mtaiota tu.
Achana na mpira wa kukariri na ramli
We are the champs of all champions in Europe including EPL and La Liga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…