The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

'Muda ukifika'. [emoji23] [emoji23] mausajili shendele hata nusu hamgusi
 
Jichekeshe tu..!
Kwani aliyekuambia mafanikio ni kubeba UEFA peke yake nani..?
Unafananisha carling na UCL? Are you sick? Kaa ukijua kuwa the most prestigious cup for clubs ni UEFA ones. Ndo maana Pep mwenyew anahaha maana lengo lake kubwa ni UEFA. [emoji23] Usajili shendele alaf hata nusu hutoboi.
 
Unafananisha carling na UCL? Are you sick? Kaa ukijua kuwa the most prestigious cup for clubs ni UEFA ones. Ndo maana Pep mwenyew anahaha maana lengo lake kubwa ni UEFA. [emoji23] Usajili shendele alaf hata nusu hutoboi.
Wewe una matatizo yako binafsi na Man City,mimi siwezi kutatua hayo matatizo yako..!
Kuhusu kufananisha UEFA na hicho kikombe ulichotaja,sijui umeona wapi nimefanya hivyo..!
Man Utd ana makombe 20 ya ligi kuu,lakini wakati huohuo ana makombe matatu (3) tu ya UEFA,sasa hii Man City inayokutoa povu humu JF ndio kwanza ina vikombe sita (6) vya ligi kuu,usiponielewa kwa mfananisho huu,hauwezi kunielewa tena..!
Kitu anachotakiwa kukifanya Man City kwa sasa ni kudominate soka la ndani kwanza,wakati huohuo aendelee kushiriki UEFA mara kwa mara,akishafanya hivyo ndio utamsema kuhusu kuchukua UEFA...
Kabla haujaendelea kunipotezea muda wangu,hivi unafahamu Man City imeshiriki UEFA mara ngapi tangu ianzishwe..?
 
Hata ubingwa ujao upo mikononi mwenu sababu ndie mna kikosi bora lakini mjerumani Jurgen Klopp ameahidi kupeleka EPL ijayo Anfield Liverpool

So you have to stand a challenge
 
Bernardo silva uko.
Mchezaji bora wa uefa nations league.
Kajikusanyia mataji ma5 peke yake.
Na ii ishu ingekuwa kwa wachezaji wa england kelel za kutosha.
Wacha awanie ballon dior
 
Joao felix naona anaingia hvyo.
€100m na addition zake za bonus kaka akicheza vzr €20m.
Bado joa cancelo akampe walker changamoto. Maana anajisahau sana walker.
Ila mm rodri angekuwa kipaumbele kwanza.
Hao wengine wafuatie.
Tukimpata na de ligh itapendeza maana RAIOLA hawezi mpeleka barca kwa sababu anahitaji amuuze tena baada ya miaka mi3/4 ,odds zake dogo kwenda barca ni 1.8,liverpool zimeshuka 5.5 wao wametuweka mbali 27 odds ila sidhan kama tutamuacha aende l'pool itakuwa matatizo tunajiongezea
 
Mechi mbili za mwisho assist tatu.
Za nyuma bado apo
 
Tatizo aliangushwa kutokuvuka robo fainali.
Laa sivyo ilikuwa inamuhusu waziwazi.
 
Tatizo aliangushwa kutokuvuka robo fainali.
Laa sivyo ilikuwa inamuhusu waziwazi.

Hakuna

Huyo Bernardo Silva tukimuassess ni kwamba anapitwa hata na team-mates wake kama Sterling na Mahrez achilia mbali forwards wenye mafanikio makubwa kama Aguero
 
Pale Man City wanaostahiki Ballon D'or (wenye hadhi) ni watu wawili tu! De Bruyne na Aguero
 
Hakuna

Huyo Bernardo Silva tukimuassess ni kwamba anapitwa hata na team-mates wake kama Sterling na Mahrez achilia mbali forwards wenye mafanikio makubwa kama Aguero
Sasa mkuu huyu mtu anamakombe mengi zaidi.
5/6 amechukuaa
 
Pale Man City wanaostahiki Ballon D'or (wenye hadhi) ni watu wawili tu! De Bruyne na Aguero
Ana carabao
Ligi
FA
CS
Uefa nations league.
Zote kabeba

Pia nimchezaji bora wa uefa nations pamoja na etihad
 
VVD Kama angechukua juzi alikuwa hana mpinzani ila kwa kombe moja tu,na kuwa mchezaji bora wa ligi tu anakuwa ameachwa na kdg na merlin.
Ambae analigi,na makombe kombe mengine,pia mchezaji bora.
 
Nikiangalia hapo kombe linalombeba ni moja tu la Ubingwa wa Uingereza
Ligi,bara,na world cup.
Sasa mchezaji anamawili huwezi ukamlinganisha na kina aguero na KDB.
Au sterling.
Mm nitamuweka yeye,VVD pamoja na Ronaldo. wagombanie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…