The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Rodrigo ni balaaa
 
Rodrigo ni balaaa
Huyu jamaa game ya kwanza alikuwa ajakaa vzr ila ilipoingia first 11 akawaka.
Leo ndo kabisa.
Kwa sasa sina hofu fernandinho akiwamajeruhi haimaanishi ni kupoteza point.
Last season for fernandinho the legend.
Kwa 35 hawezi kucheza hata nusu msimu akiwa fit.
 
Rodrigo Hernandez I guess ndyo atakuwa first choice pale kati
 
Matuta bahati nasibu

Huwa inatakiwa kuua gemu ndani ya dakika 90

Kwa mfano hapo Pep alitakiwa baada ya kuona hawa wanapaki basi alitakiwa aweke striker wanne au zaidi maana hiyo ndio dawa kwa wapaki basi

Yaani 4-3-3 ambayo kunakuwa na kiungo ambae anaoverlap sana kule mbele
 
kweli angefanya kama kwa swansea.Tatizo strikers zakuaminika kati haziko.
Sane nae anajishusha kiwango inaonyesha wazi,either kuwakatisha tamaa bayern ama kumkatisha tamaa pep.
Ila nilichokiona alipobadilisha wachezaji wa5 ilimaaniaha wazi kuwa bado ni mechi ya kirafiki.

But them penalties!!!
 
Dear mr FLOPP.
We got seven player off the squad,even during the first epl games.
Ederson
Gabriel
Aguero
Fernandinho
Foden
Otamendi
Mahrez
And you got only 4 players who will late.
Then what makes you fear?
Until you come to the media talking about city.
 
maazimisho ya 50 kutua mwezini
AND NASA HAVE JUST CONFIRMED THAT EPL BALL HIT THE US FLAG ON THE MOON.
 
Sterling na mdogo wake Sane wamecheza chini ya kiwango sana,labda walikuwa wanaichukulia hii mechi kama sehemu ya mazoezi...
Kwakweli KDB hakuna wa kumuweka benchi msimu ujao,tuombe tu pepo wa majeruhi asimuandame jamaa...
Nmecha bado sana...
Angelino atacheza sana mechi za Man City academy, coz so far hajaonesha kiwango cha kugombea namba na Zinchenko na Mendy...
I have a feeling kuwa Pep anaweza kusitisha mipango ya kumuuza Danilo,coz jamaa anaonekana kama ana utulivu mkubwa sana uwanjani...
 
Ahahaaaah...
Kumbe na wewe umeona woga wa huyo Mzee aisee..!?
 
Pep hakuwa serious na hii mechi mkuu...
Kwake it was just another training session..!
 
Ahahaaaah...
Kumbe na wewe umeona woga wa huyo Mzee aisee..!?
Yeah itakuwa amenyimwa pesa labda .
Na hii ameona ndo njia ya kujiaminisha kwa mashabiki.
Wametumia pesa kutuzidi,misimu hii miwili ya mwisho.
Pia na hilo la wachezaji kuchelewa linatukumba wote
 
Bernado Silva Forward ambae huwa hafungi magoli mengi ila muhimu sana kuliko wale wanaofunga mengi

Hapo namaanisha sijatumia fasihi. Ukiniambia nichague kati ya Sane na Bernado mi namchagua Bernado
 
Bernado Silva Forward ambae huwa hafungi magoli mengi ila muhimu sana kuliko wale wanaofunga mengi

Hapo namaanisha sijatumia fasihi. Ukiniambia nichague kati ya Sane na Bernado mi namchagua Bernado
Ni kweli bernado ni mtu hata mm ningemchagua bernado.
 
Mechi ngumu kwenu msimu unaoanza ni mechi ya kwanza versus Man Utd

Hao jamaa kiukweli ni tishio sana kwa aina ya watu walio nao na sio sababu wanacheza sana
 
Mechi ngumu kwenu msimu unaoanza ni mechi ya kwanza versus Man Utd

Hao jamaa kiukweli ni tishio sana kwa aina ya watu walio nao na sio sababu wanacheza sana
Tuna
Westham. A
Spurs. H
Bo'mouth. A
Brighton. H
Norwich. A

Msimu uliopita walitusumbua sana away tulitoka 1:1
Home 3:1
Ila walipata ya red card etihad

Walisumbua sana kukubali kupaki basi ila mechi ya juzi nimeshangaa wameingia kwenye mfumo game nzima.
 
Utd owner anamuuliza OGS

OWNER: How close are we to the epl winning side?

OGS: 5 miles Sir.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…