The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Hii match inaisha draw ama city anashinda

Mungu ibariki city!!
Bahati mbaya kwangu waweza kuta na hapa Bongo unaipenda Yanga...

Mimi baada ya mama, baba na mabinti zangu...

1. Simba
2. Liverpool
3. Barcelona
4. Bunju Veterans
5. Michepuko
6. Bibi yenu
7. K Vant
8. Kitimoto
9. Kitanda
 
Bahati mbaya kwangu waweza kuta na hapa Bongo unaipenda Yanga...

Mimi baada ya mama, baba na mabinti zangu...

1. Simba
2. Liverpool
3. Barcelona
4. Bunju Veterans
5. Michepuko
6. Bibi yenu
7. K Vant
8. Kitimoto
9. Kitanda

Dear babu,kunikadiria mimi kuwa yanga ni tusi kubwa sana kwangu....namna nisivyoipenda yanga haizidiani sana na namna nisivyoipenda liver

Hapo kwenye list yako nitoe kwa Liver,michepuko,K vant na kitimoto.
Sijui nimekwama wapi manake hata my babe Don Clericuzio nae liver.....so unlucky!!!!
 
Karibu Liverpool my dear mjukuu... where you will never walk alone
 

Kati ya vitu ninavyovipenda ni kuwa na Mwanamke ambaye hatushabikii timu moja.

Ili tukifungana tuzomeane.
 
Fullbacks selection ya Pep sikubaliani nayo

Zinchenko ni mchezaji mzuri ila sio katika nafasi ya Left-back , Zinchenko uwezo mdogo sana katika ku'contribute' significantly kwenye mashambulizi. Crosses ni hawezi kama sio hajui

Kyle Walker angewekwa Center back tu maana ana umakini lakini nae sio mzuri ku'contribute' kwenye mashambulizi kama huyo dogo Zinchenko . Walker=Zinchenko tofauti ni Walker ana mbio na his defending ni nzuri

Gundogan aliishiwa mawazo afanye nini game ya jana, David Silva umri naona tayari umeshaanza kumtupa mkono
 
Wewe umeshaona timu yako ni Mataputapu uwezo wa kuikimbiza Liverpool hamna tena,kilichobaki ni kujikombakomba kwa timu za watu wengine tu ilizmchallenge Liverpool.
Mataputapu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu yangu hao wachezaji ulivyowachambua umesahau makubwa yao yote? Huyo Zinchenko sindio yule left back wetu tunamuaminia siku zote na alikua na record ya kucheza mechi nyingi bila kupoteza?

Huyo D. Silva sindio yule tunaesema ujuzi wake hauzeeki na game mbili kabla ya Norwich alitoa assist nne, yaani mbili dhidi ya Bournemouth na mbili dhidi ya Brighton?

Tukubali game ya juzi tulizidiwa na jamaa wakapata matokeo, kupoteza game kawaida huwa inatokea na kila timu inaweza kupoteza

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…