Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Man city anashinda bila tabuSioni leo mkichomoka
Kwel bro nimekubaliSioni leo mkichomoka
Mkuu damu yako ipo CityHalafu hizi timu zote nashabikia, lakini Jana sijui kwa nini walikuwa wakishambuliwa Man City moyo ulikuwa ukinienda mbio.
City mbele kwa mbele mpaka fainali
sasa mboma kikosi akijabalanceMambo ni motoView attachment 1532884