The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Uyu jamaa walimsifu wee kumbe ni kepa aliepakwa kiwi[emoji23][emoji23][emoji1787]
 
Nadhan wameona sura yake halisi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Chelsea wamepigwa tu
Lampand under pressure.
Yan nisingekuwa porin [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuliwachezea kama tunacheza na burnley.
Hata nafasi hawakutengeneza.
 
Lampand under pressure.
Yan nisingekuwa porin [emoji3][emoji3][emoji3]
Tuliwachezea kama tunacheza na burnley.
Hata nafasi hawakutengeneza.
Hii game niliangalia kwa kujiaamin kabisa, Chelsea nilikuwa nawashangaa kisa wanasema tunakorona

Pep ni kichwa [emoji16][emoji16][emoji3]
 
Hii game niliangalia kwa kujiaamin kabisa, Chelsea nilikuwa nawashangaa kisa wanasema tunakorona

Pep ni kichwa [emoji16][emoji16][emoji3]
Aloo.
Pep masterclass.
Wachezaji wa5 corona.
Bado kanivunjia daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…