Leo man City tunamchubua ndogo [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Matokeo ni ngapingapi mkuu,😁 muwe na akiba ya maneno ona sasa😀Leo man City tunamchubua ndogo [emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hawa viumbe ni watu na nusu [emoji3][emoji3]Hii partnership ni balaaView attachment 1670506
Dias ametulia sana kule nyuma, namuona anaenda kuwa bonge la defenderHii partnership ni balaaView attachment 1670506
Hatar sanaKila nikitazama kwa siku za usoni sioni mwingine wa kuchukua EPL msimu huu zaidi ya hawa watoto wa mjini(Man City).
Ebwana naona tunapepea.Walete hao BAH tuwakule
Citzen chairman