dahhh mushaliwa tayari [emoji1787][emoji1787]Kikosi cha leo nahis
Erdeson
Zincheko, dias ,stone ,joe cancelo
Gundogun rodrigo foden
Mahrez torres stering
Walker injurydahhh mushaliwa tayari [emoji1787][emoji1787]
Hapo midoKikosi cha leo nahis
Erdeson
Zincheko, dias ,stone ,joe cancelo
Gundogun rodrigo foden
Mahrez torres stering
Sasa utamuonaje n huna machoTutarajie mambo makubwa kwa City maana bado sijaona mwingine mwenye kutwaa EPL msimu huu nje na Man City.
Kati yetu na nyie nani mfuta vumbi[emoji23][emoji1787][emoji1787]Tunaomba mtufutie vumbi kiti chetu tunarudi kukikalia kesho.
Tulia na bado mtu anakula za kutosha leo ili kutegua haka kamdomo.Man City inashindaga kwa Michongo ya marefa
Hahahaaaa pep akishika usukanMan City inashindaga kwa Michongo ya marefa