Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Pep anazeeka sasa..The boss has also been nominated for the January @premierleague Manager of the Month! [emoji170]
View attachment 1695293
3 point anfield tunachukuaMabroo kesho tuko na Liverpool..lengo ni kuhakikisha Manyumbu yanabeba ndoo..[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Salah atakuwa amefichwa na diasMabroo kesho naona kabisa tunapigwa.
Salah hatotuacha salama.
Man u atakuwa bingwa mpya mtetezi.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Na klopp juzi kamuuzi sanaLeo pep najua hatakosea
Only three point .......
Sanaa sanaa3 point anfield tunachukua
Salah atakuwa amefichwa na dias
Moto wa Gundogan mpaka nimemsahau KDB, liverpool walikuwa wanatusumbua kwasababu ya beki.. ila saivi wameisha
Ruben aisee ni kitasa balaa, afu anachonifurahisha Kwanza 23yrs
kwa hyo nyie mliotunguliwa bao7 na aston vila ndio bora sana2-0 na Spurs
5 na LC
1-1 na Liva
3-1 na Chelsea
Dias alipata clean sheet na nani mkubwa?
Leo anaokota zaidi ya mara mbili mnyavu
kwa hyo nyie mliotunguliwa bao7 na aston vila ndio bora sana