Sasa haya maneno kama Dias ni bora ‘sana’ yametoka wapi?
Ni mchezaji mzuri hilo nakubali lkn mnampa sifa zisizo zake sasa
Dias didnt win anything yet
2-0 na Spurs
5 na LC
1-1 na Liva
3-1 na Chelsea
Dias alipata clean sheet na nani mkubwa?
Leo anaokota zaidi ya mara mbili mnyavu
We jamaa uwe na bando tu, na hatutaki excuses hapa... ukipigwa bao 3 kubali, sawa?
Na ww ukipigwa kubali
No excuse
Pep inabidi aliangalie swala la penalt ,game mhimu tunakosa penalt why
Pumbavu kabisa gundogan
Na ww ukipigwa kubali
No excuse
Mwambie angaphopaga.Malafyale ukabhopaga lilino[emoji23][emoji23][emoji23] kaa utulie dawa iingie
Na ww ukipigwa kubali
No excuse
Mjifunze kukubali ata kabla ya mech huo ndiyo uungwana.Sasa haya maneno kama Dias ni bora ‘sana’ yametoka wapi?
Ni mchezaji mzuri hilo nakubali lkn mnampa sifa zisizo zake sasa
Dias didnt win anything yet