The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

what a goal from A J...
 
[h=4]Sergio Aguero has enjoyed his first season in England and has hit peak form at just the right time for City – but he has promised there is much more to come.[/h]

...Umuhimu wa mechi ya April 30, 2012 kati ya MANU na MANC sasa umekuwa mkubwa sana....Mimi naamini kabisa atakayeshinda mechi hiyo ndiye atakayetawazwa kama bingwa wa msimu wa 2011/2012. Itakuwa poa sana kama Tevez atafanya vitu vyake na kisha kunyonya dole gumba lake kama apendavyo kufanya mara nyingi pale anapozina nyavu za wapinzani.
 
Wakuu hongereni, mmejirudishia matumaini... Japo kuondoa game yenu na watani wenu, mna kibarua ugenini kwa Newcastle na nyumbani na QPR... Hazitakuwa mechi rahisi sana kwenu, lazima mkomae... Ila kwa sasa hongereni.
 
acha tu hii ni zaidi ya bundasliga yaani gemu ya mwisho ndio itaamua nani bingwa..
 
...Kesho itakuwa bomba sana kama MANU wakichapwa na MANC...nawachokoza akina BJ & Co πŸ™‚πŸ™‚
 
...Kesho itakuwa bomba sana kama MANU wakichapwa na MANC...nawachokoza akina BJ & Co πŸ™‚πŸ™‚

Watachapwa tu hawana ujanja wowote, si umesikia Tevez karudi, the guy works hard in the field na anajituma sana wewe shangilia tu mchezo Mancs wakifungwa ndio wasahau kabisa kuchukua ubingwa wa EPL
 
CITY TEAM: Hart, Zabaleta, Clichy, Kompany, Lescott, Barry, Yaya, Silva, Nasri, Tevez, Aguero
 
TEAMS: Man City: Hart, Zabaleta, Clichy, Kompany, Lescott, Barry, Yaya, Silva, Nasri, Tevez, Aguero. Subs: Pantilimon, Richards, Kolarov, De Jong, Milner, Balotelli, Dzeko.
Man Utd: De Gea, Jones, Smalling, Ferdinand, Evra, Carrick, Scholes, Nani, Giggs, Park, Rooney. Subs: Amos, Rafael, Valencia, Young, Welbeck, Hernandez, Berbatov.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…