Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Kdb hayupo form ....
Walker anatumia nguvu nyingi ,anabutua tu daaa ....
Walker atoke aingie cancelo ..
Tukifungwa hii game basis EPL itakuwa inatuponyoka ....
HT 1-1
Sasa hilo litakataka ni la kuwazia?? Leo tunamkalisha zinabaki point tatu ..na tunajua kwa City hachomoki baada yapo tunaanza kufukuzana na City..Mpite kwanza point Man unied.
Hizo point tunafika kabla yenuPoint 81_85
Ukifika umechukua ligi msimu huu
Mpite man u uje tuongee saivi piga story na Liverkuku.Sasa hilo litakataka ni la kuwazia?? Leo tunamkalisha zinabaki point tatu ..na tunajua kwa City hachomoki baada yapo tunaanza kufukuzana na City..
Daaaaaaah we jamaa una moyo mgumu zaidi ya paka. Tukutane maySasa hilo litakataka ni la kuwazia?? Leo tunamkalisha zinabaki point tatu ..na tunajua kwa City hachomoki baada yapo tunaanza kufukuzana na City..
Ni lazima uamini hadi mwisho ili uone uzima wa mileleDaaaaaaah we jamaa una moyo mgumu zaidi ya paka. Tukutane may
Saizi sisi wananchi sio size ya timu zote EPLNi lazima uamini hadi mwisho ili uone uzima wa milele
Hauna imani kabisa aisee!Kdb hayupo form ....
Walker anatumia nguvu nyingi ,anabutua tu daaa ....
Walker atoke aingie cancelo ..
Tukifungwa hii game basis EPL itakuwa inatuponyoka ....
HT 1-1
Wengine wanafikiri kila siku unashinda mechi kwa performance nzuri kila sikuHauna imani kabisa aisee!
Kama mashabiki wa Chelsea wanaamini watachukua ubingwa, wewe unashindwaje kuamini utachukua ubingwa?
Man City ametoka kwenye mawiki ya fixture ngumu sana, kipi kinakufanya uamini kuwa kama Man City angeshindwa kupata ushindi dhidi ya West Ham basi ubingwa wa EPL ungemponyoka?