Kwa upande wangu tukimalizana na united ,inabidi pep atenge kikosi cha maangamizi kwa ajili ya uefa ,..
Tunahitaji uefa zaidi ..
Cancelo -dias -stone-zincheko
Bernado -rodrigo -gundo
Mahrez/stering -kdb/jesus -foden
Zincheko ,
Huwa anaonekana dogo sana ,kama hana nguvu ,ila nakwambia kati ya zincheko na walker ,zincheko anatumia akili sana ,anauhakika na pass anazopiga hiko tu ndio kinamfanya awe bora ...
Hicho kiwe regular start kwa uefa
Hawa kina
Mendy
Walker
Frenandiho
Torrres
Arguero
Wahusike EPL
Uefa ni game of chance ,usipoweka kikosi cha ushindi mapema ukisubili majaribio then sub ,muda unaisha ushatolewa ,goli moja linamadhara makubwa uefa ,...!
Pep hapo ndio anafeli ..
Hakuna siku niliyoumia kama kutolewa na spurs quarter final ,achana na Olympic Lyon....