The Manchester City (The Citizens) | Special Thread


tutatoka tu always we are playing against referee and city haters..
 
Wao wana Marefa, Sisi tuna Mungu.

tena wanajiita mashetan wekundu,,,,,,, dini zoooooooteeeeee zinampinga zen wao wanajiit vile, wanalaana na huyo alex wao, basi ss tuna mungu rangi zote, nyambafuuuu
 
man city wachezaji wake wote hakuna hata 1 anaeweza kupata namba fc barcelona,labda kipa joe hart na kwa mbali david jimanez silva wengine wote bench wakisajiliwa nou camp

we ndo ***** kweli...kwani Yaya Toure alikuwa wapi kabla hajasajiliwa Man city!!! unaleta ushabiki wako wa Villa Squad hapa
 
hawa wengine ndo wameona mpira leo usishangae wakisema hakuna mchezaji wa City anaeweza cheza Barcelona
 
Pambano kali sana mashambulizi kila upande, itakuwa poa sana kama MANC wakishinda leo 🙂 leo GUNNERS wote tumevaa jezi za MANC
 
MANC 2 NC 0...Ubingwa unanukia pale MANC....AV 1 ToT 0...Tot wamebaki 10 baada ya mcheza wao mmoja kupewa red card... Tot wanapata penalty Adebayo anafunga 1-1
 
MANC wakikosa ubingwa basi itakuwa ni laana....Match ya mwisho wanakipiga na QPR ambayo tayari imeshuka daraja...

Labda Man U wafunge mabao mengi sana.
 
Nimependa hii analysis,


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…