Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Mwaka huu yetuHizi Micky mouse cup zimejaa kwenye makabati ....
Sasa tunahitaji uefa ..
Ww unalipi man uKakombe kenyew kama ka kahawa
Wewe subili miaka 30 kulipata hili kombeKakombe kenyew kama ka kahawa
Epl nayo ni mickey mouse[emoji23]?Wazee wa Mickey mouse cup..
Kwani nyie matakataka mnasemaje?
Hivi UEFA final itakuwa ni Chelsea vs nani?
Kati ya nyie na psg yeyote lazima aliwe kichwa.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]