Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Mkuu hio ndio falsafa ya pep ,viungo wanapiga mpira mpaka ndani ya box ..PSG walikabwa timu nzima, hakuna kufurukuta. Watu wanajua kupiga pini.
mimi gunners ngoja tuwape lacazetesure bro tupeni zyech
Na ndo shida ya kumtegemea mchezaji fulaniPSG mfumo wao wa kutanguliza kina mbape na neymar hawawez kuchomoka ..!
Fanaili ni fainali tu,usidharau mwiba Chelseafc siyo timu ya kuibeza wanauzoefu wakutosha kwenye hizo fainal usiwachukulie poa kiasi hicho.Nikikutana na Chelsea final , basi nitaenda nimevaa suti kabisa ya kusherekea ubingwa ..
Tuliza mshono wewe ,..!Oyaa nyie matakataka ..bado mnawaza ubingwa UEFA?
Sisi yeyote atakayekuja maana sisi fainal tushatimba ivyo tunangoja kinyago yeyote Kati yenu au PSG tumnywe supu.
Maana uwezo wa kushinda tunao, Hari tunayo, hivyo jipangeni Sana ..
Hii EPL tumewapa tu lakini msimu ujao kwanzia UEFA ,EPL na kuendelea tutakomba vyote..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Kwakweli city raha sana πππCry palace 0
City 2
Mtaelewa