chelsea ile tuliyoiwekea sterling... huu mziki wa leo unauona lkn
Alinunuliwa kwa £1.8 m tuuuuuNimekubali rasmi pep ni kocha namba 1, waliosema pep anatumia pesa wajifikirie tena_ hawa kina zichenko ni kweree
Sio 3 ila 4 hizo zitakuwa ni ndoto za kimweli66'
Psg anatakiwa ashinde goli 3