Aisee kashapiga ngapi uko mbape?Leo Mbape lazima azae na nyie lazima ajipatie mabao yake matatu safiiiii kabisa
khe aya maana kumtoa PSG hukukubariLabda UEFA ya kwenye PS
ulitaka ashinde nani mbona unateseka mkuu?Si kwa magoli mepesi namna ile, ni bora nilijikalia zangu home mapema kutokwenda kupoteza jero bure kwenye vibanda umiza, maana hakuna uzuri wowote wa UEFA ligi hii ya leo
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
khe umemfunga ngapi madlidi?Nyie matakataka tunawasubiri fainal.
Hii mtu ilikuwa imekula cha arushaAisee kashapiga ngapi uko mbape?
Comecon city
[emoji3][emoji3][emoji3]
Istanbul ipiN'golo kante= Rodri+Gundogan+Kelvin de bruyne
Tukutane Istanbul .
kabet huyoulitaka ashinde nani mbona unateseka mkuu?
Wee shangaa Kama umeona dyudyu ..zidane anakufa mapema tu ..khe umemfunga ngapi madlidi?
Atatürk Olympic StadiumIstanbul ipi
kumbe unanifuatilia sanaWee shangaa Kama umeona dyudyu ..zidane anakufa mapema tu ..
Na wewe hata hueleweki upo timu gani ..wewe fuata upepo tu Kuna siku utajikuta huna hata boksa.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Muda utaongea tuuN'golo kante= Rodri+Gundogan+Kelvin de bruyne
Tukutane Istanbul .