The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Naona mmeelekea machinjioni wenyewe, siku hiyo ndio mtajua kuwa hamjui chochote.
 
Hapo chelsea fans wanaona ndio washamaliza kazi na kujipa hope They will win against Man City πŸ˜ƒ.. ..kumfunga madrid ndio mjipe hope kiasi hicho! Mimi si madrid fan, lakini mtakachokutananacho mtasimulia.. ..

πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Aaah !kumbe wewe ni shabiki wa Arsenal,kunywa majimengi yanapunguza stress.
 
Huyu Madrid tarehe 26/Feb/2019 Mancity alimpiga first leg 2 kwa 1 pale kwake na second leg alikaa tena 2: 1, sasa kumfunga huyu msidhani mtaweza kutufunga, kwanza saiz yetu alikuwa ni yeye wala sio nyie.
 
Hii Chelsea sio ya Lampard

Sasa kama saizi yenu Chelsea kamuondosha na hata nyie basi si saizi ya Chelsea
 
Nyie mabwege ole wenu mshindwe kumfunga chelsix.. Jana tu watu hatujalala hao ng'ombe wakibeba ndoo si ndio itakua balaa
 
Aaah !kumbe wewe ni shabiki wa Arsenal,kunywa majimengi yanapunguza stress.

Mimi ni City Wildfish πŸ˜€ Arsenal leo atakalishwa na villareal na kutupwa out.

Man city 2-0 Chelsea
Villareal and Man u, final.. ..Villareal bingwa mzee ⏳

πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ‡¦πŸ‡·πŸ”₯πŸ”₯
 
Sisi tunakaa kmya.
Maana fa kucheza na kina mendy naona washabik wa chelsea wanapata mdomo
Ss wacha jmosi tuwafunge warudi kwenye mapambano ya top 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…