Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Tukutane Istanbul
acha kubwata kijana toa facts kwanini iwe hivo kiurahisi tuChelseaaa kwisha habari yake hata hapa walipofika wamejitahidi.
Man city 2-0 Cheleseee
[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
acha kubwata kijana toa facts kwanini iwe hivo kiurahisi tu
Hahahahaha tutasumbua week mzima hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyie mabwege ole wenu mshindwe kumfunga chelsix.. Jana tu watu hatujalala hao ng'ombe wakibeba ndoo si ndio itakua balaa
[emoji23][emoji23]View attachment 1775630mliocheza nao jana.. Asa mnashindwa nini kushinda hapo
Kesho tunatangaza ubingwa EPL ..Line upya kesho against chelsea ndo ntajua pep anawachukuliaje chelsea
Hahahaha umeanza kuingiza upepo mapema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kesho tunatangaza ubingwa EPL ..
Pep anatakiwa kuweka full mkoko bila kuogopa ,hawa Chelsea wasituzoee kabisa ...
Weka
Kdb ,gundo ,mahrez,foden najua wote wako fit,hizo match zinazofuata ndio watakuwa wanaingia kina Jesus na sterling
Game ya kesho ni muhimu sn. Lazima tuingie full mkoba. Ndio game ya kutupa uhakika wa kubaki top fourKesho tutawaekea akina Kepa, Gilmore, Alonso, Geroud, Tammy, na madogo wengine was Chelsea.
Game itatosha 0-0
Kazi mnayo Man City ya kumdhibiti mtu mmoja kwa watu wawili.
[emoji116]
The whole team were absolutely superb over both games and ended up deserved winners against a giant of European football in Real Madrid.
But there was once again another Man of the Match performance from the robot human that is N’Golo Kante. When people say it is like having two players on the pitch when he plays, that is literally a fact!
Kante was colossal for Chelsea again last night and deserved his award, but as always he stays Mr humble, and it is left for his team mates to give him the praise he deserves.
Timo Werner nae hakua nyuma kumwagia sifa Kante [emoji1787][emoji23][emoji38] yaani ukiwa na Kante unakua unacheza na watu wawili zaidi [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]
[emoji116][emoji116][emoji116]
“N’Golo is always really important for us. He’s a beast, to win the ball and fight and run all over the place. The manager tells us every time he is playing that we play with two players.
“He’s a really good guy, plays so good, and also last night how he ran next to me and created a chance and also when he ran with the ball, gave a pass to Christian at the second goal. He’s so important to us and I’m very glad we have him in our squad.”
Wewe nae akili huna tu mkuu umejawa na mahaba na wa Argentina kama wamekuoa aguero si aliingia alifanya nini sasa kazi aliyoifanya phoden aguero angeiwezaMkuu, huyu pep ana nini kwa Aguero? Ile mechi ya juzi angemwanzisha Aguero nadhani angewapiga magoli mengi sana. Sijajua wana bifu gani!!!!
[emoji1033][emoji1033][emoji1033][emoji91][emoji91]
Wewe nae akili huna tu mkuu umejawa na mahaba na wa Argentina kama wamekuoa aguero si aliingia alifanya nini sasa kazi aliyoifanya phoden aguero angeiweza
Aguero hawezi tena hakuna kitu atacho ku offerKaingia dakika ya 86 kama ckosei
Game ya city na Chelsea tuwaheshimu Chelsea tu kwa vile ni final ,ila kuhusu uwezo wa wachezaj city haikamatiki ...Kesho tutawaekea akina Kepa, Gilmore, Alonso, Geroud, Tammy, na madogo wengine was Chelsea.
Game itatosha 0-0
Game ya city na Chelsea tuwaheshimu Chelsea tu kwa vile ni final ,ila kuhusu uwezo wa wachezaj city haikamatiki ...
Kiufupi Chelsea hana uwezo was kuifunga city unless otherwise mambo mengine yatoke ,hata wao wanajua sema wamekaza ubongo tu ...!