The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

Laporte wacha akagaini skills zaidi huko euro najua atarudi akiwa moto,na atakuwa na combination nzuri na dias in case stone kama akiwa flop ...

Kuhus ake mimi simlaumu sana ,ila ipo siku ataonesha uwezo na kuona umhimu wa usajiri wake ,hata kipind cha kana vicent kompany kina stone ,laporte hawakuonekana kabisa ....


Lakini naweza sema katika watu wanaoenda kutupa CL na PL ni stone na loprte mwenyewe ,hasa baada ya dias kuja ..

Baada ya aguero kuondoka aisee pep alete striker mwingine ,kama kane akija ni nzuri zaidi ...

Hii false nine am sure wapinzani watakuwa washamsoma pep ,yaani iwe full kubadilisha mfumo msimu ukianza ,jesusu hana consistency nzuri sana...!

This is our city
 
Unajua torres naweza kusema alikuwa hapewi muda wa kutosha ,ila anaenda kuwa bonge la finisher ,..

Wacha nimwangalie euro naona kapewa nafasi ,akikiwasha huko atarudi huku kwenye leagu ameshakuwa goal machine...
Wachezaji wengi etihad hawapewi nafasi yakutosha msimu wakwanza
Diaz tuu
 
[emoji3][emoji3] Ni kweli kabisa.
Haland isingekuwa ishu ya raiola angependeza sana kuja pale etihad
 
Tukipata world class striker sijui itakuwaje maana apa tuu moto wanaupatapata
 
If VAR was not used in the 2020-21 Premier League, the Premier league table would have taken a huge reshuffle making Arsenal UCL qualifiers, But City would still win the league.
 
Aguero kaagwa kibingwa aisee goli 2011/2012 imempa heshim kubwaaa ..

93:20

Agueroooooooooooooo
 
Nyie matakataka nimeona mwenzenu alichofanywa na Villareal?? Sasa sisi tutawafanya Mara mbili yake..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…