4 yearsHili jamaa vpView attachment 1798927
United kwa sasa sio timu tena, hawana kocha misimu minne sasa hawana hata kombe moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wage bill
United Β£284m
Villarreal Β£73m
Squad cost
United Β£831m
Villarreal Β£142m
Ii ilikuwa jana
Jamani jamani
Namba mbili imeenda sawa kabisa kama nilivyopredict β.. .. bado city π nampa 100%βHuyo kante wenu atafichwa hiyo jumamosi.. ..mpeni tu sifa π
Man city bingwa
Villareal bingwa
Tatizo ni bei, siku hizi washambuliaji wamekua adimu sana ambapo inapelekea bei zao kuwa kubwa mno.[emoji3][emoji3] Ni kweli kabisa.
Haland isingekuwa ishu ya raiola angependeza sana kuja pale etihad
Inasikitisha sana.United kwa sasa sio timu tena, hawana kocha misimu minne sasa hawana hata kombe moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamjawah kumpigia city mpira mwingiNyie Abunuwasi tutawapigia mpira mwingi hamjapata ona.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]