Pep tunahitaji uefa kuliko kitu chochote ,jmoss naamini tunaenda kuweka historia ..Jioni io tayar wameshafikaView attachment 1799721
Chelsea na mpira mwingi wapi na wapiNyie Abunuwasi tutawapigia mpira mwingi hamjapata ona.
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
Historia ipi iyo mtaweka nyie mapapai?Pep tunahitaji uefa kuliko kitu chochote ,jmoss naamini tunaenda kuweka historia ..
Our city
Ndo mtajua kesho kuwa hamjuiChelsea na mpira mwingi wapi na wapi
He is among our main men in the midfieldGundo kaumia mazoezin Leo ,pep kasema sio injury kubwa japo kesho lolote linawezatokea ..